#LaLiga
REAL MADRID MABINGWA WA LA LIGA
-Wanatwaa ubingwa kwa mara ya 34 sasa.
FULL TIME: Real Madrid 2-1 Villarreal
Real Madrid wamevalishwa taji la ubingwa wa La Liga kwa mara ya 34 baada ya kuwafurumusha Villarreal kwa mabao 2-1 huku Karim Benzema akitupia magoli hayo yote.
Mahasimu wao Barcelona wamechezea kichapo toka kwa Osasuna kwa kubamizwa 2-1.
Matokeo ya mechi nyingine ni kama ifuatavyo:-
Athletic 0-2 Leganes
Valencia 1-0 Espanyol
Real Betis 1-2 Alaves
Real Socieda 0-0 Sevilla
Celta 2-3 Levante

Comments
Post a Comment